Hili ni toleo la awali la Sera yetu ya Faragha. Toleo la sasa la Sera yetu ya Faragha linapatikana hapa.

"vitambua vifaa"

Mifano

Vitambua vifaa hufahamisha Google ni kifaa kipi cha kipekee unachotumia kufikia huduma zetu, ambacho vinaweza kutumika kugeuza huduma yetu kufaa kifaa chako au kuchanganua matatizo yoyote ya kifaa yanayohusiana na huduma zetu. Unaweza kutazama vifaa unavyotumia vya Android hapa: www.google.com/android/devicemanager

Hufunguka katika kichupo kipya(hufungua tanbihi chini ya ukurasa)
Programu za Google
Menyu kuu